Acts 26:24

Paulo Aeleza Juu Ya Kuhubiri Kwake

24 aPaulo alipokuwa akifanya utetezi huu, Festo akasema kwa sauti kubwa, “Paulo, wewe umerukwa na akili! Kusoma kwingi kunakufanya uwe kichaa!”

Copyright information for SwhNEN